Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, FIFA Ballon d’Or amewaahidi madaktari wa Madrid kuwanunulia gari mpya baada ya kushinda tuzo hiyo wiki hii .
Katika mahojiano ya hivi karibuni na Sportsmail, kocha wa Real Madrid , Paul Clement amezungumzia mambo ambayo Ronaldo atayafanya atakaporejea kutoka kwenye mechi za katikati ya wiki za Ligi ya Mabingwa . Ronaldo anatambua na kuheshimu sana mchango wa madaktari wake na wakati wote amekuwa mkweli wa ahadi kwao na awali amekwishawahi kuwazawadia saa mpya na simu aina ya iPhones toleo jipya.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire