Msanii wakizazi kipya ane ondoka na mitindo ya Rnb ERASTO LEONARD a.k.a Ell's boy amependa kufahamisha washabiki wake kuwa:" Mwaka huu wa 2013 lazima nijitangaze vyakutosha,nimeonjesha asali washabiki wangu sasa naona imewakolea,siku baada ya siku wananiomba niweze kukamilisha album ili iweze kunitangaza vyakutosha,sasa nimeamuwa kuwaridhisha na akipenda mungu hadi mwezi December mwaka huu album yangu 'SIWEZI' itakuwa tayari.Kwa mdaa huu niko kwenye harakati zakumalizia malizia nyimbo zenyewe kwakuzifanya colabo na baadhi ya vigogo vya mziki nchini hapa." Lakufahamu ni kuwa yuko anatumika na Big Fizzo kwenye studio Buja Records pamoja na Producer machachari mwenye uzowefu mkubwa Liser classic,pini hio inasimama na jina 'Bonge la demu'. Kwa ujumla album hio itakusanya pini 10 nazo ikiwa pamoja na :
1.Siwezi
2.Nari mumahanga
3.Kingai ngai
4.Uliniahidi
5.Number one feat Mtulivu
6.Bonge la demu feat Big Farious
7.Embe dodo feat Pidco
8.We ninani feat Uncle Crazy
9.Sinshiboye feat Mkomboz
10.I Mutabira
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire