Mashindano ya kombe la shirikisho barani africa yalishika kasi,Burundi ikiwakilishwa na timu ya LLB Academic ili ipokea Police fc kutoka Rwanda,match hio imemalizika kwa bao 1 ya LLB na 0 ya police (Bao lilifungwa na Claude NDARUSANZE kwenye dakika ya 48' . Match ya marudiano imepangwa kuchezwa nchini Rwanda/Mjini Kigali mu wiki 2. Marefa wote 4 walitokea nchini Somalia. Orodha ya wachezaji pande zote mbili ilikuwa ifwatayo :
Police fc
* 11 Walio anza uwanjani
* Walio salia kwenye akiba si mbaya
Ganza Alexis 1 , Nshimiyimana Aboubakar 15, Uwimana Jean D'Amour, 13, Nshimiyimana Amran 2, Mungwarareba Alphrodis 5 , nahayo Eric 14, Ndayishimiye Youssouf 19
Coach : Goran Kopnovic & Gatera Alphonse.
Lydia ludic Burundi academic
* 11 walio anza match
Nyabenda Athanase 18, Rahid Leon 3, Hakizimana Issa 19, Rugo Srephan 2, Kiza Fataki 12, Ndikumana Yussuf 14, Nahimana Type matembe 10, Duhayindavyi gael 9, Nduwarugira Christophe 9, Andasango freddy 22, Ndarusanze Claude 13
* Walio salia kwenye benchi
Nzoyisaba Epimaque 21,Ndizeye Alain 8, Baransananiye Jackson 14,Idi saidi juma 5, Gakuji Paul 16, Saidi kayumba 25, Bonne Idee rachid 15.
Coach : Tuhabonye Michel
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire