NIYONZIMA SALUM NASSOR a.k.a Lolilo Mzizi wa jiwe ameachwa huru . Duru tulizopata toka kituo cha askari polisi tarafani Nyakabiga alipokuwa anafugwa walitujulisha kuwa toka jana jioni saa kumi na moja alikuwa tayari ameachwa baada ya Lolilo kukubali kulipa pole pole vifaa alivyovunja vya Mwanadada
Claudine ambae inasemekana kuwa alikuwa mpenzi wake. Kulinganisha uchunguzi uliofanywa na tume iliofatilia kwa karibu iligunulika kweli Msanii huo alitenda kitendo hicho,aliombwa kulipa hasara ya vitu vyote alivyovunja pole pole hadi siku atabieneza... Ripoti tuliokufikishieni kabla ni kuwa
LOLILO alikuwa anadai kuwa vifaa vyote alivyovunja yeye ndie alikuwa alimnunulia navyo. Sheria ilifata mkondo wake , pole sana
Lolilo...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire