mardi 24 décembre 2013

FFB : Matokeo ya Wiki ya 2 (Vital'o Fc 2-0 Espoir, Inter Star 0-0 LLB Academic...


Leo hii kwenye viwanja tofauti nchini ilichewza michuano kwa upande za Ligi kuu . Baadhi ya timu zilizopoteza mchuano wa kwanza , wiki hii zilijikongoja nakujipatiya ushinde . Matokeo ya michuano 7 ya leo ni haya yafzatayo :

Jumaa-nne , 23 December 2013
Saa nane (14h) : Muzinga 0 - 2 Flambeau de l'Est / Uwanja wa Prince Louis Rwagasore
Saa nane (14h) : Atlhetico Olympique 0 - 0 Messager Ngozi / Uwanja wa Olympafrica
Saa tisa (15h) : Espoir fc 0 - 2 Vital'o / Gatumba
Saa tisa (15h) : Flamengo 0 - 0 Prince Louis / Uwanja wa Don Bosco - Buterere
Saa tisa (15h) : Les Guepiers du Lac 2 - 0 Volontaires / Uwanja wa Makamba
Saa kumi (16h) : Académie Tchité 1 - 0 Royal FC / Uwanja Olympafrica
Saa Kumi (16h) : LLB Académique 0 - 0 Inter Stars / Uwanja wa Prince Louis Rwagasore

Ligi imepangwa kuendeleya Jumaa-mosi hii itakuwa imeingiya kwenye Wiki yake ya 3...

Kwa upande wa Kombe la Wizara linalochezwa mwaka kwa mwaka , Timu inayo wakilisha ikulu kwa Raisi (Présidence) na Wizara ya Sheria ( Justice ) zinatinga fainali ya kombe hilo itakayochezwa siku ya Alkhamis kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore saa tisa (15h) . Mshindi atawakilisha Burundi nchini Tanzania , kwenye Kisiwa cha Zanzibar .

Nusu fainali (1/2 Final ) : * Présidence de la République  2 - 0 Ministère de la Défense Nationale.
                                      * Ministère de la Justice 1 - 0  Ministère de l’Intérieur.



Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire