Msanii wa miondoko ya kipekee DOGO JANJA ambae alikuwa kati ya Wasanii 6 kwenye kipengele cha Wasanii Chipukizi wa mwaka 2012 ( Revelation of the year ) waliofanya kazi nzito mwaka 2012 kwenye tunzo zilizo tolewa nchini Ivory Coast maarufu kama 'Kora Awards' ,bahati haikwenda kwake kwani akufaanikisha kuchukuwa tunzo lenyewe. Msanii huo ameahidi kufanya mambo makubwa sana kwenye tamasha hio ambayo yamulikiwa kufanyika Mjini CAP TOWN, tizama bango kimakini utaona vichwa flani flani kwa upande wa muziki wa Burundi . Dj pro anae ishi pande zile na ambae alikuwa kati ya waliompokea kwenye uwanja wa ndege alitwambia kuwa :" hivi karibuni pini yangu mimi na DOGO JANJA itawafikieni washabiki wangu..." Aliandika vile vile kupitia ukurasa wake wa facebook alipo post bango lenyewe hilo la Tamasha akiwaomba Washabiki , aliandika :" Usikose plz kuja upate tracks 3 mpia daaaah ni zaidi yakukinukisha duuuuuuuh balaaaaaaaaa...".
N.B: Mpangilio kamili soma bango hilo apo juu...
N.B: Mpangilio kamili soma bango hilo apo juu...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire