vendredi 28 juin 2013

LIONEL MESSI ziarani SENEGAL...

Lionnel Messi ziarani Senegal.
Mchezaji nyota wakimataifa mwenye uraia wa Argentina vile vile aki ichezea klabu ya Barcelona nchini Espania toka jana yupo nchini Senegal. Kwenye ziara hio LEO atagawa nakusambaza vyandaruwa kwenye familia za watoto wanaosirika na ugonjwa wa malaria. Kwa uchunguzi uliofanywa nawanasiansi walikutwa watu wanaosirika sana na gonjwa hilo ni watoto ambao wako chini ya umri wa miaka 5 na wamama ambao wanamimba,na uchunguzi huo ukaendelea unaonyesha kuwa kila dakika watoto wawili wanafariki dunia kutokana na janga hilo. Lionnel Messi yupo SENEGAL kutokana na mkataba alio nao na Shirika kutokea Quatar la "Football combating malaria'' , msafara huo ataundeleza kwakugawa vyandaruwa ma elfu na ma elfu nchini Kenya,Uganda,Cote d'Ivoire na Guinea . Nchini Sénégal ,familia zaidi ya 300 toka kwenye Miji ya Mbour na Saly Portdal ndizo zitapata ofa hio ya vyandaruwa ili kujilinda na gonjwa hilo la malaria.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire