mercredi 22 janvier 2014

CHAN 2014 : BURUNDI bye bye... (Mauritania 2 - 4 Gabon)

Live result: Burundi 1 - 2 RD. Congo

Burundi - R.D. Congo mchuano wa 23 kati ya nchi hizo mbili jirani kwenye Uwanja wa PETER MOKABA STADIUM/South Africa umemalizika kwa ushindi wa DRC bao 2 kwa 1 . Dakika ya 15 Yamin Selemani aandika bao pekee la Burundi , dakika ya 19 DRC kupitia mchezaji MAKASU MUNDELE , huyo huyo kwenye dakika ya 24 na 27 akaipachikia DRC bao mbili . Matokeo mengine kati ya Gabon na Mauritania hayakuipa Burundi na fasi yakuendelea kwani Gabon ilishinda 4 kwa 2 .

Warefa wa mchuano huyo ni pamoja na :

Referee BAMLAK TESSEMA WEYESA (ETH)

Assistant Referee 1 YANOUSSA MOUSSA (CMR)

Assistant Referee 2 OAMOGETSE GODISAMANG (BOT)

Reserve Referee JUSTE EPHREM ZIO (BFA)

Commissioner SOULEIMAN WABERI (DJI)

General Coordinator KHALED LEMKECHER (TUN)

Majina ya Wachezaji wa Timu 2 na miaka yao yakuzaliwa:

1 ARTHUR ARAKAZA (GK) 27.07.1995 FLAMBEAU DE L’EST

2 DUHAYINDAVYI GAEL, 03.10.1990 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

3 RASHID LÉON , 14.03.1994 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

4 CLAUDE NDARUSANZE , 20.06.1988 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

6 NDUWARUGIRA CHRISTOPHE , 22.06.1994 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

7 ABDOUL FISTON , 01.03.1993 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

13 NSABIYUMVA FRÉDÉRIC, 26.04.1995 ATHLETICO OLYMPIC

14 NDIKUMANA YUSSUF , 01.07.1993 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

15 HAKIZIMANA ISSA , 28.08.1994 LYDIA LUDIC BURUNDI

ACADÉMIC

17 HAKIZIMANA HASSAN, 15.10.1990 ATHLETICO OLYMPIC

20 NDIKUMANA SELEMANI (C) , 26.11.1988 VITAL'O F.C.

Coach Name:EL MAHDY NSEEM LOTFY MOHAMED


5 JEAN NDUWIMANA , 13.01.1986 OLYMPIC STAR

8 LÉOPOLD NKURIKIYE , 25.09.1991 VITAL'O F.C.

9 SHABANI HUSSEIN , 26.09.1990 FLAMBEAU DE L’EST

10 SHASIRI NAHIMANA , 05.08.1993 AS INTER STAR

11 PASCAL HAKIZIMANA , 25.04.1993 FLAMBEAU DE L’EST

12 CELESTIN HABONIMANA , 05.11.1988 FLAMBEAU DE L’EST

16 MOSSI MOUSSA M 15.09.1992 Vital'o Fc

18 YVAN RUGUMANDIYE GK 04.07.1992 ATHLETICO OLYMPIC

19 RUGONUMUGABO STEPHANE ,12.12.1990 LYDIA LUDIC BURUNDI ACA

21 AIMÉ NZOHABONAYO , 07.09.1989 INTER STAR

22 GILBERT TUYIHIMBAZE , 01.07.1993 GUEPIERS DU LAC

23 NDUWIMANA SAIDI GK 06.06.1989 AS INTER STAR


R.D. CONGO

1 KIDIABA MUTEBA (C) GK 01.02.1976 TP MAZEMBE

2 JOEL KIMUAKI MPELA , 14.10.1986 TP MAZEMBE

3 JEAN KASUSULA KILITSHO , 06.08.1982 TP MAZEMBE

4 ERIC NKULUKUTA MIALA , 05.08.1982 TP MAZEMBE

5 CHIKITO LEMA MABIDI , 11.06.1993 AS V.CLUB

7 MUBELE NDOMBE, 17.04.1992 AS V.CLUB

9 JEAN-MARC MAKUSU MUNDELE , 27.03.1992 BEL OR

11 CEDRICK MBIDI MAVUANGA , M 01.06.1994 DC MOTEMA PEMBE

12 BODRICK UNGENDA MUSELENGE , 19.11.1989 DC MOTEMA PEMBE

17 GUY LUSADISU BASISILA , 28.12.1982 AS V.CLUB
18 EBUNGA SIMBI , 26.08.1983 AS V.CLUB

Coach Name:Santos Muntubile

6 YANNICK BANGALA LITOMBO , 12.04.1994 DC MOTEMA PEMBE

8 RIGUENE PEMBELE MUKANISA , 03.02.1994 CS DON BOSCO

10 HERITIER LUVUMBU NZINGA , 23.07.1994 AS V.CLUB

13 NDONGA MIANGA , 02.05.1992 TP MAZEMBE

14 PATRICK ILONGO NGASANYA , 08.08.1984 TP MAZEMBE

15 ALAIN MUKOKO MAYAYI , 18.03.1988 DC MOTEMA PEMBE

16 HERVE LOMBOTO NGUEMBA GK 27.10.1989 AS V.CLUB

19 EDDY NGOYI EMOMO , 13.10.1993 SHARK FC

20 THIERRY KASEREKA , 26.04.1994 AS V.CLUB

21 ERIC NGOIE KABULO,23.07.1984 CS DON BOSCO

22 PHILIPPE MAVUBA LANDU , 27.12.1995 AS DRAGONS

23 FREDDY KANYINDA TSHINI GK 19.12.1985 AS DRAGONS

Japo Burundi imefungwa pande za kwa mandela wanasema kuwawamefurahishwa na kiwango cha Burundi kwa upande wa soka . Alitwambia Freeman ,msani wa burundi anae ishi pande zile :"AH tuna fungwa ila furaha tunayo nimchezowetu njotunao apa nyumbani cape town mtaa wa Brookryn asante natala comment yangu pls ni freeman south Afrika, tunakubali wachezajiote fisto na yamini."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire