Baada yakutangaza kuwa alifaidika milioni 40 dola shilingi za kenya , msanii Mkenya JAGUAR ameanza kukisiwa kuwa anauza dawa zakulevya . JAGUAR akiongea na Jopo la Watangazaji baada yakumaliza shooting ya video yake akiwa amechukuliwa picha kwenye gereza (prison) . Alisema kuwa anafurahi kuona amechukuliwa picha na raia ambao wako korokoroni ,alipo ulizwa swali la shutma ya kuwa anauza unga (drogue) , alichana kibaga ubaga kuwa :" mimi naendelea kufanya uchu uzi wangu kawaida na nitaendelea ku ambatanisha na mziki kwasababu mziki wenyewe hunitoshelezi haja zangu ,naitaji nifike mbali zaidi ." Jaguar anaonekana sana kupitia Tamasha mbali mbali Mjini nairobi , na hivi karibuni yuko ana anda mzungu uko (Tour ) kwa ki itangaza pini yake * KIOO* aliyotengenezea gerezani...
vendredi 24 janvier 2014
Kenya : Jaguar akana kinaga ubaga kuwa adili na biashara haramu yaku uza unga (drogue)...
Baada yakutangaza kuwa alifaidika milioni 40 dola shilingi za kenya , msanii Mkenya JAGUAR ameanza kukisiwa kuwa anauza dawa zakulevya . JAGUAR akiongea na Jopo la Watangazaji baada yakumaliza shooting ya video yake akiwa amechukuliwa picha kwenye gereza (prison) . Alisema kuwa anafurahi kuona amechukuliwa picha na raia ambao wako korokoroni ,alipo ulizwa swali la shutma ya kuwa anauza unga (drogue) , alichana kibaga ubaga kuwa :" mimi naendelea kufanya uchu uzi wangu kawaida na nitaendelea ku ambatanisha na mziki kwasababu mziki wenyewe hunitoshelezi haja zangu ,naitaji nifike mbali zaidi ." Jaguar anaonekana sana kupitia Tamasha mbali mbali Mjini nairobi , na hivi karibuni yuko ana anda mzungu uko (Tour ) kwa ki itangaza pini yake * KIOO* aliyotengenezea gerezani...
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire