Huu ndiyo ujumbe wa Raisi wa Burundi Mh Pierre NKURUNZIZA baada ya jana Intamba kuishinda Mauritania bao 3 kwa 2 :
" Mes félicitations à l'équipe nationale du Burundi. Un bon match, une bonne possession de balle, bref, tout ce qui prouve que notre football évolue. Allez de l'avant ..." ,
Akimaanisha Mh Raisi :" Heko kwa timu ya taifa ya Burundi . Mchezo mzuri , uzibiti mzuri wa mpira , kiufupi ,imeashiriya kuwa soka ya nyumbani inaelendeleya vizuri . Songa mbele..."
Kwa wale ambao hawakutizama moja kwa moja mchuano huo , bofya hapa utizame video ya mchuano wa jana :
http://www.supersport.com/football/chan-2014/video/318424
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire