jeudi 21 novembre 2013

Uzinduzi rasmi wa nyimbo na video ya * Princess Karyin * ya KOOK KAY ni tarehe 6/12/2013 kwenye Ukumbi wa Havana Night Club...

Princess Karyin - Kook-K Launch
Uzinduzi rasmi wa nyimbo *Princess Karyin * ya KOOK Kay ni tarehe 6/12/2013 kwenye ukumbi wa havana Club kuanziya saa 1 usiku . Ratiba na mpangilio Kamili soma hapo juu kwenye bango...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire