lundi 20 janvier 2014

Washabiki wa Lizzo Manizzo wabaki kwenye labda labda hapo jana kwenye Show kwa Vy'Isi...


Pichani : Lizzo , Queen na Black G...
Jana Jumaa=pili tarehe 19/1/2014 kwenye Ukumbi wa kwa Vy'Isi ndipo palifanyika bonge la Tamasha lilo wapambanisha wasanii Lizzo na Fizzo , ni moja kati ya Show zilizokuwa zikisubiriwa kwa hamu kwa upande wawashabiki wa mziki nchini ambao wameanza siku za nyuma kuitowa sapoti isiyo kuwa na mfano kwa Wasanii wanao endelesha kazi hiyo nchini . Mila , ada na desturi ya Show ao Tamasha za hapa nchini huwa kama ilivyo zoweleka ikiandikwa tamasha kuanza saa kumi (16h) huwa wanaanza kuimba kwanza wasanii chipukizi kwa kuanda njia ya wale ambao wamezoeleka sana .

Fizzo
Jana jioni kwa Vy'isi hali halisi iliyo jitokeza haikuwaridhisha washabiki wa NIYONZIMA NASSOR Salum ambao walijitokeza kwa wingi kwenye ukumbi wenyewe . Duru ya kuaminika tuliyo ipata kutoka kwa Bruno Member SIMBAVIMBERE alitufahamisha kuwa :" Yaliyo tokeya jana niliyatabiri mapema kwani waliwapa na fasi kubwa Wasanii ambao wasiyokuwa kwenye bango (affiche ) wakasahau kuwa ilikuwa ni upinzani wa nani °MKALI° kama alivyokuwa akisema MC jana . FIZZO alirusha watu roho ile mbaya ila LIZZO alipopanda jukwani askari polisi walimkataliya kudai kuwa mdaa umetimiya wakuzima kila kitu , ifahamike ya kuwa ilikuwa midaa ya karibu saa tatu usiku ." Ni vizuri kwa wakati mungine waandaji wa Show kuheshimisha mpangilio nakuheshimu muda...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire