Kigali: -Ujenzi wa uwanja mpia utagharimu pesa milliards 40.(40.000.000.000frw)
Mwanzoni mwa mwaka huu nchini Rwanda wanataraji kutengeneza sehemu pajulikanapo kama Kichukiro uwanja wakimataifa utakao gharimu miliardi 40 (40.000.000.000 ) sarafu za Rwanda. Duru kutoka Wizara ya Michezo na vijana nchini Rwanda zinasema ya kuwa wako kwenye harakati yakusaini karatasi muhimu ili shughuli rasmi za ujenzi wa uwanja huo zianze kwani ifikapo mwaka 2016 Rwanda ndio itakuwa nchi wenyeji wa kombe la Wanachezaji wanao sakata gozi la nyumbani maarufu kama CHAN. Habari hizo zinaendelea kusema kuwa Uwanja huo utakuwa wa kwanza nchini rwanda,na utakuwa na uwezo wakupokea watu elfu sitini (60.000) . Kwa muujibu wa anae simamaia michezo kwenye wizara ya michezo na vijana nchini Rwanda Bugingo Emmanuel :" Alisema alipokuwa anaongea na jarida la Izuba rirashe kuwa wamefkia atuwa yakusaini karatasi muhimu ili shughuli rasmi za ujenzi zianze rasmi,hazitokawiya sana na tuna imani kuwa hadi mwaka 2015 uwanja utakuwa tayari kwani ifikapo mwaka 2016 Rwanda itapokea michuano ya CHAN."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire