Baada ya kuwa Msanii NIYONZIMA SALUM Nassor a.k.a Lizzo Mzizi wa Jiwe akupewa na fasi yakuimba kwenye tamasha iliyokuwa imeandaliwa kwa Vy'isi Jumaa-pili iliopita tarehe 19/January/2014 na habari kutembea kona zote kuwa pengine ilikuwa ni kampeni yakumzarawisha Lizzo mbele ya Fizzo nakumuonyesha kuwa hafai na upande mungine yakizungumzwa maneno kuwa Lizzo huwa anajiweka juu uku ikiashiriwa wazi kuwa Fizzo anamshinda na kuwa na Washabiki wengi ndipo Fizzo ameamuwa yeye binafsi kuanda bonge la tamasha ifikapo tarehe 8/february/2014 sehemu ile ile Tarafani kanyosha. Washabiki apa wanajiuliza , kwanini hakumshirikisha Fizzo? Jibu hatuna pengine mpaka tutakapo mu uliza akifunguka mwenyewe lazima tukuwekeyeni wazi mfahamu kinachoendelea . Lizzo kwenye Tamasha hiyo amewashirikisha : Black g , Loliane mkee wake ,The Cousins ( R Flow, Queen Flo na Bamso) , Mkomboz , Sam Over Mix , Charro Nas ... Ki ingilio kimepangwa pesa 1500 fasi ya kawaida na 2000 VIP . Mkao wa kusubiri Washabiki...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire