mardi 3 décembre 2013

Tizama picha za Concert ya Business Man (Happy Famba),The Cousins,Olga na Ariane walizoendesha Mikowani...

R Flow na Happy Famba...
Katika jitiada zakusheherekeya siku ya kimataifa yakupiga vita gonjwa sugu la ukimwi kila tarehe 1/December , wasanii kama vio vya jamii walipewa shavu ili kudumbwiza kwenye Tamasha zilizo itwa "Tube Class" . Tamasha hiyo iliwashirikisha wasanii wafwatao : Happy Famba , Yoya , The Cousins ,  Ariane na Olga . Fahamu ya kuwa Tamasha hizo waliziendesha kwenye sehemu mbali mbali kama :Gitega,Kirundo,Rugombo,Cankuzo na Nyanza Lac. Hizi ni picha ya Tamasha ya mwisho walio iendesha Nyanza Lac :

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire