mardi 8 octobre 2013

Umoja wawa Dj's nchini burundi ( D.I.B ) kurusha vumbi Archipel tarehe 12/10/2013...

 
Umoja wa Dj's nchini Burundi baada yaku ungana nakuketi chini kwakufkiriya kuwa pamoja kwakusowa hitlafu  flani flani zinazo jitokeza huku na kule kwa upande wa tamasha zinazo andaliwa na baadhi ya wa promoter . baada yakurusha vumbi wiki ya nyuma kwenye ukumbi wa KISS CLUB,ifikapo tarehe 12/October/2013 watakuwa ARCHIPEL hadi kuchee. Dj Polin kutokeya mitoni atakuwa nawo, na tayari amewaahidi kutowa sapoti yake kwani fikra za wa Dj's  hawo ni nzuri sana . Mengi zaidi kuhusikana na tamasha hiyo soma apo kwenye bango apo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire