vendredi 13 septembre 2013

Africa News : Top 10 ya wasanii tajiri barani...Jarida la Negronews limeidondoa orodha ya wasanii 10 tajiri zaidi kwenye mwaka huu wa 2013 ,wanashindana ifwatavyo :

1. Youssou Ndour (Sénégal )

2. Peter & Paul Okoye maarufu kama P Square (Nigeria ),ni wabalozi wa mtandao flani wa mawasiliano nchini kwao.

3. D’banj, Nyota mmiliki wa Tv yake inayokwenda na jina la * Koko Mansion *.

4. Koffi Olomidé ( DRC )

5. Salif Keita ,msanii albino kutekea Mali

6. Fally ipupa ( DRC )

7. 2Face Ibidia, ni msanii vile vile Producer na bila kusahau kuwa anamiliki Night Club Nigeria.

8. Hugh Masekela (South africa )

9. Banky W, msanii kutokea Nigeria ,ni balozi wa aina ya sim nchini mwake na Muwakilishi wa bidhaa za aina ya SAMSUNG nchini Nigeria .

10. Joe Chameleon (Uganda).

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire