Mmoja kati ya wasanii wa kizazi kipya NSHIMIRIMANA Dieudonné a.k.a BIZOS PRO muanzilishi wa ' KIYAGO STYLE ' baada yakusimama kikamilifu na style yake mpya hiyo yupo jikoni na clip ya moja kati ya nyimbo zake hizo . *beshabandi* ni nyimbo iliyopewa shavu na baadhi ya redio nchini ndiyo ameamuwa kuitoleya clip kwa mara ya kwanza . kwa sasa anatamba sana na pini * garuka * ikiwa ndiyo rmx ya ya hiyo ya kwanza.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire