samedi 20 avril 2013

Primus League : Tambwe Amissi ameizika Flamengo leo hii (Vital'o 7-0 Flamengo,Flambeau 2-0 Prince Louis,Espoir 0-1 Messager Ngozi)...

Matokeo ya wiki ya 13 :

Ijumaa : Inter Star 2-0 Academie Tchite .

Jumaa-mosi : * Vital'o Fc 7-0 Flamengo Fc . (Tambwe Amissi alipachika bao 5 kati ya 7 zilizofungwa na timu yake , Steve Nzigamasabo alifunga 2 kati ya hizo)
 * Espoir Mutimbuzi 0-1 Messager Ngozi .
  *  Flambeau de l'Est 2-0 Prince Louis .                                                                        





Tambwe AMISSI anaongoza kwenye ngazi ya wafungaji bora na bao 17 , akifatwa na GENTIL wa Royal na bao 8 . LLB na MUZINGA hazikucheza kuotakana na mchuano wa duru ya awali LLB iko inacheza nchi Ivory Coast zidi ya ASEC MIMOSAS .

Ligue A : Msimamo wa League , wiki ya 13.


EquipeGDPts
1 VITAL'O FC1928
2ATHLETICO OLYMPIC1527
3FLAMBEAU DE L'EST926
4ROYAL FC522
5 INTER STAR420
6LLB ACADEMIC (-2 matchs)518
7 MESSAGER NGOZI 018
8MUZINGA FC (-1match)-216
9ACADEMIE TCHITE-215
10PRINCE LOUIS-912
11FLAMENGO FC-1807
12ESPOIR-1905

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire