Happy Famba ziarani africa mashariki hivi karibuni...
Msanii mwenye uzoefu wakumiliki jukwaa HASSAN IBRAHIM maarufu Busness mana ao Mr Happy Famba kama ilivyokuwa kawaida yake mwaka kwa mwaka kutembelea nchi jirani kusoma wanavyofanya ili wazidi kuwa juu zaidi kimziki , mwaka huu anatarajia kufanya mzungu uko wa nchi kadhaa ili kuji imarisha ipasavyo kwenye kazi yake hio . Tulipo muuliza kuhusikana na habari hio alitwambia : " Ifikapo Jumaa-tatu akipenda mungu ntachukuliwa picha (shooting na Guerra Man ) ya nyimbo nilio itengeneza nikimshirikisha Jay Fire *baby girl* na baada ya shughuli hio ntaitika wito wa show biz east african ambayo imenikubalia kunilipia nyimbo moja kwa Washington nchini Uganda , nyingine kwa Ogopa dj nchini Kenya ila mbele yayote kuna
producer raia kutokea Rwanda anaitwa Paster p kuna nyimbo amenitengenezea sasa
kunabaki vitu vidogo ili animalizie sasa taanzia kwakwe Rwanda kisha
nifike naonganisha Kampala ntarudi . Baada ya mwezi umoja tafika
naenda Kenya kwa Ogopa dj tapokelewa na mwana mziki mwenzangu pia ni
rafiki yangu sana Jaguar alietamba na nyimbo yake *kigeu geu* na kwa muda huu yuko juu na nyimbo *kipepeo* ." Baadhi ya picha ya ziara zake na mastaa alishagakutana naonakupanga kazi nao :
Famba & NIYAMUREMYE Claude Abdallah a.k.a Dr Claude
Pichani : Famba , Ali Kibaa , Kidum , Member , Ariane & Dany
Pichani akiwa na Mickeal ross na ya juu yake akiwa na marehemu kanumba.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire