Dj Pro |
"Jitume sana kuisikiliza #rema_fm - #radio_culture - #bonesha_rm - #radio-salama - #ccib_fm+ maana kuna kitu muhumu kitatangazwa siku za mbele ni muhimu sana kwako wewe kama shabiki wangu wa pande za #bujumbura_burundi #team_pro_negger "
Maneno hayo aliyo andika yameacha wengi kwenye labda labda na wengi kuhitaji kujuwa kwanini? Anamaanisha nini ? Ao anataka kurudi nyumbani ? Jibu ni kuwa kuna video ijulikayo kama * Sugar mamy * yupo anatengeneza na ABDUL KESHY wa Keshy Video Lab. i 4Cos MEDIA , mmoja kati ya ma Best Producer wazuri wenye uwezo pande zile akiwa ni mzaliwa wa Burundi , wakiwa bado wanachukuwa picha za video hiyo anamulika kutulia nayo kwanza itakapo malizika na atakapo wasili Bujumbura iwe ndio zawadi tosha kwa washabiki wake .Alitwambia :'' Wambiye kama video sinto iacha south africa
mpaka nifike buja ndo ntaicha kwa kuonesha mapenzi mashabaiki wangu
wenye wako pande izo walikuwa wanasubiri kazi yangu kwa mda mrefu."
Huu ni upande umoja wa cover ya CD ya album yake atakayoizundulia Buja-Burundi. |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire