|
Intamba Murugaba baada yakuishind Sudan kupitia mikwaju... |
Burundi leo ndio itatambuwa ni timu zipi itakazo pambana nazo kwenye duru ya makundi kwa upande wa michuano ya CHAN , wachezaji wanaocheza soka kwao . Burundi pamoja na Burkina Faso, Congo-Brazzaville, Ethiopie, Maroc, Mauritanie, Mozambique , Nigeria ndio mara ya kwanza kudiriki kombe hilo . Ifahamike ya kuwa jumla ya nchi 16 ndizo zitakazo chuana nazo ikiwa pamoja na kati ya tarehe 11/1/2013 hadi tarehe 1/2/2013 :
- Afrique du Sud ( Wenyeji ), Burkina Faso, Burundi, Congo-Brazzaville, Ethiopie, Gabon, Ghana, Libye, Mali, Maroc, Mauritanie, Mozambique, Nigeria, Ouganda, RD Congo, Zimbabwe.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire