dimanche 25 août 2013

East africa movies :Kibali Cha Filamu Ya Lulu' Foolish Age' Kimetoka

Posta ya filamu itakayozinduliwa ifikapo tarehe 30/August/2013.Foolish Age ni kazi mpya kutoka kwa Lulu itakayo tambulishwa na kuzinduliwa Dar es salaam tarehe 30 August 2013 Pale Mlimani City. Palikuwa na taarifa zisizo za ukweli kuwa filamu hii imesimamishwa na haitaonekana. Hizi sio Taarifa za ukweli. Ushaidi ndio huu, Lulu kapata Kibali Cha Kutoa Na Kuonyesha Filamu hii Ya Foolish Age.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire