BIZIMANA Aboubakar karume maarufu
SAT B ao SIMBA jina alilobatizwa na
CHRISTIAN NSAVYE ,Mtangazaji toka kwenye redio Isanganiro .Baada yakuwakubalisha washabiki Wake kwenye mzungu uko mrefu wakuzunguruka mikoa tisa ya Burundi kwenye mashindano ya primusic ,siyo siri sat b alionyesha uwezo wa hali ya juu kwakubuni mfumo mungine wakucheza nama dancers akiwa jukwani,alifahamisha BB kuwa :" Nimejifunza mengi sana kwenye mashindano ya primusic ,nimegunduwa kuwa Burundi tunaweza kabisa,inabidi tuzidi kuwezeshwa ili tukamilishe ndoto zetu,naweza kusema kuwa imefkia muda wakutumika na kazi zenyewe ziwe zinalipa,zakuridhisha watoto hadi watu wazima na ndio kwa maana hiyo Manager wangu anae ishi Ulaya
Dj JACKSON ameamuwa kunibadili vyakutosha , hatuwa ya kwanza ilikuwa kufanya rikodi zenye level yaju nchini Uganda ,kwasasa ameamuwa kunikutanisha na Kampuni ya
*Keshy Video Lab * inayo ongozwa na Best Producer Mrundi kutokea South africa kwa Mandela
NAHONIGOMBEYE ABDUL KESHY,ifikapo tarehe 30/9 ao tarehe 2/10/2013 atakuwa ametuwa Burundi kuja ku shoot video yangu 'Respect',naomba mkao wa kula washabiki zangu kwani baada ya primusic nimeamuwa kutokelezea na makali ya Simba ." BB ilichukuwa fursa hiyo nyeti nakuhojiana na Producer mwenyewe alitujibu :"Passport yangu iko ku ambassade ya burundi nasubiri visa inakuja next week kama mardi wala mercredi ila tiketi iko tiyari sija wa confirmer natoka lini , ila inaweza kuwa vol ya tarehe 30/09 wala 02/10/2013 " .
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire