Shirikisho la mpira nchini Burundi tayari imeweka hadharani mpangilio wa uchaguzi wa Viongozi wapya wa Kamati Tendaji kwenye Chama cha mpira nchini Burundi (FFB) itakayo fanyika ifikapo tarehe 5/May/2013 . Mpangilio huo umetolewa mapema ili kutayarisha vizuri uchaguzi huo ambao unasubiriwa kwa hamu na raia nchini na nje ya nchi .
Tuwakumbushe kuwa kamati tendaji itachaguliwa na Mkutano mkuu ( Assemblee generale ) inayo undwa na Viongozi wama shirikisho za Mikowani ( Jumla ya 15) na Viongozi wa timu za mpira za Bujumbura na Mikowani Ligi A ,B Bujumbura na Mikowani (Jumla ya 32 )
ECHEANCE (Tarehe na mdaa) | ACTIVITES ( Shughuli zinazo andaliwa ) | RESPONSABLE (Viongozi) |
Du 5 au 21/04/2013 | Constitution des listes et dossiers des candidats ( Katiba ya orodha na vitambulisho vya watakao jichagulisha ) | Président(s) tête(s) de liste (Viongozi watakao jichagulisha ) |
22/04/2013 à 17H | Date limite de dépôt des listes et dossiers des candidats ( Tarehe ya mwisho yakufikisha orodha zakujichagulisha) | Président(s) tête(s) de liste ( Viongozi watakao jichagulisha) |
25/04/2013 à 9H | Présentation des résultats d’analyse, de la conformité des listes et dossiers des candidats. ( Kutangazwa rasmi kwa matokeo baada ya uchunguzi ) | Commission électorale ( Kamati ya uchaguzi) |
Du 26 au 29/04/2013 | Introduction des recours des candidats lésés à la commission électorale (Kutoa malalamiko kwa Viongozi watakao kuwa wamekataliwa kujichagulisha ) | Président(s) tête(s) de liste ( Viongozi watakao jichagulisha ) |
01/05/2013 à 9H | Affichage des résultats des délibérations relatives aux recours ayant été introduits. (Kutangazwa kwa matokeo baada ya ukaguwaji wa malalamiko ) | Commission électorale (Kamati ya uchaguzi) |
03/05/2013 à 9H | Présentation et affichage des listes définitives des candidats retenus (Kutangaza rasmi Washiriki kwenye uchaguzi) | Commission électorale ( kamati ya uchaguzi) |
05/05/2013 | Elections du comité exécutif de la FFB ( Uchaguzi rasmi wa kamati tendaji ) | Bureau de vote (Jumba la uchaguzi) |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire