Kundi la 'MERCENAIRE'( Wakulipwa kwa kiswahili) linalo undwa na Vijana kama :
( ANDY,AMANI,JEFF,WAROMA,GILBERT...) kuongeza Mr Happy na CLAUDE mdogo wake na KIDUM ambae anakwenda kufatilia kwa karibu mpango msafara nakujali maitaji ya hao anaosafiri nao. Kundi la wapigaji wa alaa (Instruments) wanao mpigia KIDUM anapokuwa akiziendesha Tamasha nchini Burundi , Msanii KIDUM amewapa shavu kwa mara nyingine ili waungane kwenye Tamasha 2 atakazo ziendesha nchini Rwanda . Habari tulio ipata toka kwa Business man a.k.a Mr happy Famba , alitufahamisha kuwa :" Kesho akipenda Mungu saa ine asubuhi tutasafiri na Agence aina ya BELVEDERE tukijielekeza nchini Rwanda ku ungana na KIDUM ili tumsaidie kwa upande wakuwasha moto nakuzikonga nyoyo za wapenzi wa mziki watakao kuja kushughudia Tamasha siku ya Ijumaa , tarehe 1/Mars/2013 GISENYI na Ijumaa , tarehe 2/Mars/2013 Jijini Kigali kwenye fainali ya mashindano hayo ya muziki yanayo jiri kila baada ya miaka 2 ." Fahamu ya kuwa Kundi la wapiga ngoma maarufu RUCITEME KARYENDA kutokea Buyenzi walipiga ngoma kwenye ufunguzi wa FESPAD . Tunawatakia safari njema na maafanikio mema...
N.B : -Andy ao Andre , Amani , Jeff , Waroma , Gilbert , Claude na Famba njo watasafiri kesho...

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire