dimanche 14 avril 2013

Samuel Eto'o anasimama kwenye namba 6 ya Wachezaji 10 tajiri Ulimwenguni...

Samuel Eto'o Fils ndie mchezaji pekee yake toka bara la Africa ambae amejikuta kwenye orodha ya Wachezaji tajiri ulimwenguni .Mshambuliaji wa Anzhi Makachkala inayo simama kwenye na fasi ya 6 akiwa na kitita cha milioni 60 . Kwenye msimamo huo , David Beckham , Nyota wa PSG ya daraja la kwanza nchini Ufaransa ndie anasimama na fasi ya kwanza na kitita cha milioni 200 sarafu za yuro (Euros) , Lionel Messi na fasi ya 2 na milioni 134 , Christiano Ronaldo na milioni 130 .

Top 10 ya Wachezaji tajiri Ulimwenguni :

1. David Beckham (PSG) 200 M.£

2. Lionel Messi (FC Barcelone) 134 M.£

3. Cristiano Ronaldo ( Réal Madrid ) 130 M.£

4. Ricardo Kaka (Réal Madrid ) 80 M.£

5. Ronaldinho ( Atlético Mineiro ) 73 M.£

6. Samuel Eto’o Fils (Anzhi Makhachkala) 60 M.£

7. Wayne Rooney ( Manchester United ) 58 M.£

8. Zlatan Ibrahimovic ( PSG) 55 M.£

9. Rivaldo (Sào Coetono) 53 M.£

10.Rio Ferdinand (Manchester United ) 49 M.£

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire