Baada ya maneno mengi kuzungumzwa kuhusu Msanii Big Farious kuhusu kurudi kwake nchini ufaransa , Msanii huo alitoka gizani nakusema kuwa :" Kusemwa kwangu ni changamoto kwakuya faiti maisha nakujuwa nani mzuri , nani mbaya wangu ." Ila nafkiri ingelekuwa vyema kabla yakuzungumza kitu lazima uwe na uhakika ." Ningelipenda washabiki wangu watambuwe kuwa msafara ambao ningeliufanya Africa yakusini unaweza kutokuwa tena , ila msanii kutoka Rwanda TOM CLOSE yuko ananiomba nende Rwanda tushirikiane kwenye nyimbo ingine pamoja nae baada ya 'Baza' iliotesa ile mbaya pande zile hadi ulimwengu mzima , ila bado nafkiria kwani mdaa ambao ninabaki nao ni mfinyu sana apa Buja . Clip ya 'bajou' nazingine zipo jikoni ,lazima ni akikishe nimesafiri zimetoka nakuanza kuchezwa kwenye vituo vya Tv nchini . Ningelipenda washabiki wangu wafahamu tena kuwa kwasasa niko na manager na ndie anasimamia mipango yangu yote ya mziki ." Habari za uhakika zisizo kuwa na mchanga toka kwake MNYAMA MAFIA ANZO ( Msafi ) alituwekea wazi kuwa :" Washabiki na wasio kuwa washabiki wawasanii wawili Diamond from Tanzania na Big Farious from Burundi wafahamu kuwa watakuwa bega kwa bega siku hio ya tamasha . Farious mwenyewe alitamka kuwa itakuwa Tamasha yake ya mwisho nchini Burundi kabla yakuchukuwa ndege nakuelekea nchini Ufaransa (France) kumuona Mkee wake na mtoto Razzia . Tamasha ni tarehe 12/May/2013 sehemu pajulikanapo kama *Coctkail Beach* ." Habari ndio hio...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire