dimanche 14 avril 2013

Slai Fyiroko na Franck Bukuru :" Concert yetu itakuwa yakihistoria ..."

 Baada ya kimia kirefu na kujitangaza bila watu wengi kuwa na uhakika wa ndani , kundi la 'MACHIRUKU' linalo undwa na Vijana wawili Slai Fyiroko toka kwenye kundi la Wakali Power na Franck Bukuru toka kwenye kundi la Wanajeshi  kamili walianda kundi lao kama mlivyozuzwa kipindi cha nyuma . Vijana hao baada yakujitangaza gizani wameamuwa kujitangaza hadharani kupitia bonge la Tamasha walio anda ifikapo tarehe 21/April/2013 kwenye ukumbi mkubwa wa Musee Vivant . Mpangilio kamili soma kwenye bango hilo apo juu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire