MUGANI DESIRE alifahamisha BB (burundi beat) kupitiya ujumbe mfupi kupitiya ukurasa wakijamii wa facebook kuwa amewasili salama salimina nchini Ufaransa,Mjini Toulouse , alituandikiya:" Namshkuru Manani nimefika salama na familiya ipo sawa , kwakuonana ni majala..."
Farious |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire