jeudi 4 avril 2013

Dar Es Salaam : EXCLUSIVE: TATTOO YA KAJALA MGONGONI YENYE JINA LA WEMA HII HAPA

Kutoka kiwanda cha Bongo Movie namzungumzia Kajala Masanja ambae hajamaliza hata mwezi tangia aachiwe huru baada ya kutolewa faini ya Shilingi Milioni 13 na msanii mwenzake Wema Sepetu
Kajala amechora Tatto yenye jina la WEMA mgongoni mwake hii ikiwa kama ishara ya shukrani kwa rafiki yake kipenzi Wema Sepetu...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire