jeudi 19 septembre 2013

U.S.A : Dj DADDY anaendelea vizuri Marekani...

Dj Daddy
Mmoja kati ya Best Producer nchini Maarufu sana kama Dj Daddy aliewahi kurusha vumbi HAVANA Nighty Club na kuvuma sana baada yakuzifanya rikodi zilizotamba sana nchi akiwa pamoja na wasanii kama Big Fizzo, Uncle Crazy na wengineo anazidi kufanya vyema maandishi matatu USA . BB ilichukuwa fursa kama ilivyokuwa ada yake yakukujuzeni habari za Warundi walioko nje ya nchi gisi wanavyoendelea nakuhojiana nae kuhitaji kujuwa anafanya nini kwasasa , alitujibu kwakutuagizia baadhi ya picha zake ya vijimambo na maujanja anao utumiya pande zile , hebu tizama mwenyewe :


Dj Daddy aliendelea nakutufahamisha kuwa :" nilipofika pande hizi , nilitatizwa kidogo nakuzoweya ila baada ya mdaa mchache  nilijikuta nimekutana na marafiki zangu kibao na hao hao ndiyo waliniekeza wapi pakugonga ili niendeleye na shughuli yangu ya Night Club na Studio record ,kwa kweli kwa mudaa huu naendelea vizuri yaani kzi kwenda mbele." Alimaliziya nakusema :"Nawa miss sana washabiki wangu pande zote 3 za production,artist na Club, salaam zangu ziwafikiye machizi wangu wa Etoile du Centre na Warundi wote kwa ujumla.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire