Jioni ya leo nchi ya Burundi iliojielekeza nchi Kenya katikati ya wiki iliopita katika hali yakuwania tiketi ya michuano ya CHAN,leo hii imejipatia ushinde wachee ambao ni muhimu sana kwa vijana walio ongozwa na Mkufunzi LOFTI NASSIM. Dakika 90 zimemalizika timu hizo zimekwenda sare huku burundi ikicheza nusu kwenye dakika za mwisho za mchezo huo. NDIKUMANA YOUSOUF alias LULE alipata kadi za njano 2,Referee akalazimika kumuonyesha kadi nyekundu kwenye dakika ya 75.Hongera sana kwa timu hio...
*Orodha ya wachezaji 18 waliojielekeza kenya ni pamoja na:
1.ARAKAZA Mc Arthur /Flambeau de l'Est
2.SAIDI Tamaa /Atletico
3.HAKIZIMANA Hassan /Atletico
4.KAZE Gilbert alias Demunga /Vital'o fc
5.MANIRAKIZA Haruna alias Lucio /Flambeau de l'Est
6.NIMUBONA Emery alias Kadogo /Atletico
7.RASHID Leon /Lydia Ludic academie
8.BIGIRINDAVYI Gael /LLB ac.
9.YUSSUF Lule /LLB ac.
10.ISSA Vidic /LLB ac.
11.NKURIKIYE Leopold alias kaya /Vital'o fc
12.NDUWARUGIRA Christophe alias Lucio /LLB ac.
13.MANIRAMBONA Abdallah /Vital'o fc
14.Moussa Ally Sova /Inter star
15.NDAYISHIMIYE Christophe /Atletico
16.TAMBWE Amissi /Vital'o fc
17.ABDUL Razak Fiston /LLB ac.
18.NZIGAMASABO Steve /Vital'o fc
Coach: NASSIM LOFTI & Amars Akbar...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire