|
Académie Tchite. |
Timu ya Académie Tchite leo hii imejiandikisha jina lake kwenye historia ya mpira nchini Burundi bao yakuitandika Lydia Ludic Burundi academic kwa bao 1 kwa 0 ,bao lililofungwa kwenye kipindi cha niongezo ya dakika 30 baada ya dakika zakawaida kumalizika. Hii imekuja kuonyesha level ya mpira wa Burundi kupanda juu kwa hali yakuridhisha baada ya Flambeau de l'Est kunyakuwa kombe kwa upande wa Primus league. baadhi ya Wadau wa soka tuliwo hojiana nawo hawakusita kutufahamisha kuwa hali hiyo ilikuwa inasubiri kwenye kabumbu nchini kwani wengi wao walikuwa wamechoshwa nakutoka nje kwa kuwakilisha nje kwa Vital'o,Inter star,Atletico... Fahamu ya kuwa mwaka huu Flambeau de l'est na Académie Tchite ndizo timu mbili balozi kwa upande wa soka barani. Mafaanikio mema...
1/ 3.500.000frsbu :
Academie Tchite
2/ 3.000.000frsbu :
LLB ac.
3/ 2.500.00frsbu :
Atletico olympic , hizo ndizo zawadi kwa upande wa kombe hilo...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire