mercredi 3 avril 2013

Champions League : Wachezaji 18 wa Vital'o Fc watakao jielekeza Nigeria...

Vital'o fc
Klabu ya Vital'o fc  ilikuwa imepangiwa kusafiri leo saa tisa ( 15h )  ila kutokana na utaratibu wa usafiri kuelekea nchini Nigeria kama hauna visa hauruhusiwi kujielekeza pande zile ,ikawa imewapelekea kutosafiri leo . Nikinukuli alionambia KAZE GILBERT alias Demunga , mmoja kati ya walinzi wa Klabu hio alitufahamisha kuwa hawakusafiri tena leo na safari imepangwa leo .  Mh Gilbert Kanyenkore Yaounde alitufahamisha tulipojadiliana nae kwa simu kuwa safari yao iliokuwa imepangwa kufanyika leo imehairishwa hadi kesho saa tisa . Aliongeza nakusema tulipo mu uliza kuhusikana na matayarisho ya timu yake kwenye pambano iliopangwa kuchezwa Jumaa-mosi (7/AVRIL/2013) , alisema :" Vijana wangu nawa amini , na sina hofu kuwa watafanya vizuri kwenye mchezo wa marudiano baada ya matokeo ya 0-0 jijini Bujumbura . Vital'o fc inacheza vizuri inapokuwa nje kinyume na inapokuwa Burundi , tuna imani ya kuwa tutafanya vyema Nigeria . Tunawatakia kila la kheri na fanaka kwenye mchuano wa duru ya marudiano wa ngazi ya 16 .

Orodha ya Wachezaji 18 
--------------------------------
1. BIPFUBUSA Methode
2. NDIKUMANA Justin Kabengele
3. NKURIKIYE Leopold alias Kaya
4. NKURUNZIZA D'Amour
5. KAZE Gilbert alias Demunga
6. IDI Djumapili
7. GIRUKWISHAKA Michel
8. GIRUKWISHAKA John
9. MBIRIZI Christian
10. NDIKUMANA YUSSUF alias Lule
11. MANIRAMBONA Abdallah
12. NZIGAMASABO Steve
13.  IKOMO Baelenge
14. SAIDI Selemani
15. HABONIMANA Celestin
16. NDAYISHIMIYE Deo
17. TAMBWE Amissi
18. KAMARO Hussein

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire