Mchezo wa duru ya pili uliokuwa unasubiri kwa hamu kwa upande wawapenzi wa soka nchini Burundi ni ule uliochezwa nchini Nigeria uliozipambanisha timu za
Enugu Rangers na
Vital'o Fc ya Burundi . Wiki 2 kabla timu hizo 2 ziliridhika na sare ya tasa ya 0-0 .Hadi kipindi cha kwanza Rangers walikuwa mbele kwa bao 2-0 ,
Vital'o Fc ilipoteza bahati yakujipatia ushinde wakiwa ugenini na ilionekana wazi kuwa kazi ilikuwa ngumu kwao kama alivyoripoti
Melchiad (RTNB) akiwa alishindikiza Klabu hio nchini Nigeria kwani dakika za mwisho walipata na fasi yakufungua bao kupitia mkwaju wa penati ila
Steve Nzigamasabo akashindwa kujaza mpira wavuni . matumaini ya Vital'o yamekwamia kwenye ngazi ya 16 (1/16 final ),tunasubiri mchezo wa
Lydia Ludic tarehe 14/April Jijini bujumbura baada ya mchuwano kupangwa kuchezwa leo ila kuhairishwa na shirikisho la dimba africa baada ya
DC Motema Pembe kupatwa na musba uliopeleka wachezaji wake 3, mazishi yalifanyika Jijini Kinshasa tarehe 4/April/2013 .
|
Uwanja wa Nnamdi Azikiwe Stadium ( unapokea Watu 22.000) |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire