Msanii wa tasnia ya filamu wa Bongo movies
Vicent KIGOSI a.k.a Ray The Greatest baada yakujishindia tunzo nchini Rwanda ,ameingia chimbo kuanda filamu mpia itakayojulikana kwa jina la '
TWISTED' inatayarishwa na kampuni ya Rj Company .
Picha za filamu hio...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire