mardi 29 janvier 2013

Hugues BANA :" Ukuvuga menshi siko kuyamara."(Kazi mbele,maneno baadae)
Kwajina lake halisi RUTABANA Hugues wakiwa wanamfahamu kwenye ulimwengu wa tasnia ya mziki kama Hugues BANA akiwa vile vile anatambulika kama mchukuwa picha nakuzikosha (editor) ameifahamisha blog yetu kuwa mwaka huu wa 2013 yupo na kazi nyingi ambazo iko anarekebisha na zingine anamulika kuzitengeneza kwa nia moja yakukuza tasnia ya mziki nchini. Alitwambia :" Abarundi tumenyereye kuvuga menshi,ugasanga vyinsi tuvuze bihereye mumajambo,jewe rero nshaka mbe uwambere mukubirwanyaNiko na nyimbo yangu moja binafsi ilitoka jana , concert za msanii wa Gospel Dudu niko nazimalizia malizia hivi karibuni mtaziona, clip ya nyimbo 'Ijisho ry'umutima' nimeshamaliza tayari script inabaki tukutane na Msanii mwenyewe, siku ya Jumaa-mosi (Samedi) tutachukuwa picha ya nyimbo 'Nampenda by Adora feat Jiji 7,Msanii huo huo wa mitindo ya Gospel ninampango mkubwa wakutumika nae video ila hajanambia niya pini ipi? Kuna nyimbo inajulikana kama 'Sexy girl' ya Pop g walioshirikiana na Lolilo nitaitengeneza hivi karibuni...,pini ya Sat b 'afise amanyama' script yake imeshamalizika,kinachosalia nikuchanga picha nakukosowa kosowa   ...huo ndio mpango ninao kwa muda huu."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire