Jumaa-pili mida ya usiku ndipo mvua kali ilinyesha nchini Burundi , maji mengi kutokea kwenye milima ilipituwa vitu na raia zaidi ya 50 . Tafara za kaskazini mwa Mjii mkuu wa Bujumbura ndizo zilikabiliyana na janga hilo . Mungu ainusuru Burundi... Izi ndizo picha za baadhi ya sehemu tulizozipata :
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire