lundi 28 janvier 2013

Kenya: -KIDUM:" Poleni waliopoteza,mzidi kujikaza..."






Mwanamuziki wakimataifa mrundi akiwa anaishi Nairobi/Kenya Jean-Pierre NIMBONA KIDUM vile vile akiwa balozi wa mziki wa Burundi kupitia kampuni ya vinywaji 'brarudi' amejiunga na taifa lote la Burundi,hasa hasa waliopoteza mamilioni ya pesa na vitu tofauti tofauti vya thamani vilivyo yonga na moto mkali hapo jana mjini Bujumbura kwaku unguwa kwa soko kuu nchini Burundi.Kidum kama Mrundi alichukuwa na fasi hio kwakuzituma salamu za rambi rambi kwa wale wote waliopoteza nakuwataka wakaze roho kwani alipangalo mola halina kosa, aliongeza nakusema kuwa ameumizwa sana na tukio hilo anaomba Warundi na wasiokuwa warundi wazidi kushikama kwa hali na mali ili walipatie jawabu swali hilo nyeti laku unguwa kwa soko,alishkuru wote waliojitolea kwakusaidia ili moto huo usitapakai mahali pengine hasa hasa nyumba zilizokuwa pembezuni mwa soko kuu Bujumbura. Alitwambia kwenye lugha ya taifa :"Ababuze bose nibigumye, ivyashitse vyashitse dufatane munda kugira tugerageze hamwe gutorera umuti kuvyadushikiye, reka nsozere nsaba abo bose babuze ivyabo bihangane kuko nakare ubuzima burabandanya..." Akimaanisha (Waliopoteza wajikaze,biliofika bilifika tushikamane kwa nia moja yakutafuta jawabu nakutafuta dawa ya ufumbuzi kwa yalio jitokeza,acha nimalize kwakuomba wote waliopoteza wajikaze halakuli hali maisha yanaendelea...") .Alimalizia nakusema:" Ntakuwa Bujumbura akipenda Mungu siku ya Valentin Day,itakuwa tarehe 14/February ku Ego Hotel,asanteni na karibuni nyote kwani siku hio ntaichukuwa fursa yakumtangaza hadharani atakae kuwa mkee wangu..."


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire