BIZIMANA Aboubakar karoume a.k.a Sat b ameifahamisha safu yetu kuwa :" Akipenda Mungu ifikapo jumaa-pili ntakuwa nimerejea nyumbani,sio siri nchini Uganda nimejifunza mengi, kwasasa nimemaliza kazi ilionipeleka nchini Uganda ,jana nimemalizia kazi ya mwisho,pini hio inaitwa *RESPECT* ni eshima tosha kwa Washabiki wangu,mdaa muafaka umetimia wakuridi nyumbani,akipenda Mungu Jumaa-pili ao Jumaa-tatu ntakuwa nimejerea nyumbani."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire