jeudi 10 octobre 2013

Tizama video ya Dady Face alivyokamuwa Wazungu North Dakota / USA...


Dady Face.

Msanii wa kizazi kipya DADY DESIRE a.k.a Dady Face mzaliwa wa Burundi Tarafani Kamenge ; kaskazini mwa Jiji kuu Bujumbura aendeleya kupeperusha bendera ya Burundi Marekani ,baada yakutamba na pini yake * Miss mamtoni * , hii apa ni video ya alivyo pafomu Jumaa pili kwenye university ya North Dakota.

1 commentaire:

  1. Wasanii,jaribu kuitengeneza kazi yenu vizuri mbele ya kwenda mbele ya watu.na watangazaji,acheni ku fanya kazi kwa sentiment za kibinafsi.inaonekana hamujuwi munacho kitaka.

    RépondreSupprimer