mercredi 23 janvier 2013

T Max jana amejielekeza nchini Tanzania...T MaxMsanii RICHARDS FRANCIS NAMWATA TIMOTHEO a.k.a T max hapo jana asubuhi ndipo alisafiri nakuelekea nchini Tanzania. Apo tarehe 17/January kupitia ukurasa (wall) wake wa facebook alitangazaga rasmi kuwa kamwe hatoingia kwenye studio kurikodi nyimbo yeyote mwaka huu hadi ameakikisha ametembelea nchini Tanzania kuzitowa salamu za rambi rambi kwenye kaburi ya bibi yake mzaa mama,nakumsalim mama yake mzazi ambae kitambo hawajaonana. Aliandika:" Almost 8 years without seeing you!!! sio kwasabu sikupendi ama siku miss. na kumiss sana. apa kwenye nilipo ni kwasababu yako. Najuwa kwamba unani miss sana coz I m your only child. I can't wait to see you very soon. Nakupenda mama.Bila kusahau RIP bibi. sitawai kukusahau maisha yangu yote. I think nikiona kaburi yako tena roho yangu itatulia. Nimeapa kwamba uyu mwaka wa 2013 sitaingia studio before kutimiza ayo yote." Twamtakia mafaanikio mema na kila la kheri ...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire