samedi 9 mars 2013

Breaking News (Nairobi/Kenya) : - Maisha ya KIDUM yako hatarini...

" Nilikuja Burundi niko tabaani na siyo siri tena nakujulisha kama muandishi wa habari niko mgonjwa na nashuku matatizo ya afya yameanza juu ya uchovu kuhusu iyi kazi yangu" Hayo ni maneno aliyo tuandikia Muimbaji wakimataifa kutokea nchini Burundi ambae kwa sasa anaishi Nairobi nchini kenya Jean Pierre NIMBONA KIDUM ... Kama ilivyokuwa kawaida yetu kwakunyatia habari mbali mbali za Wasanii toka kanda ya africa mashariki,ni kuwa tumeipata na fasi yakuyafanya mahojiano na Mwanamuziki KIDUM na akawa ametufafanulia kwa kirefu , soma hapo nchini mahojiano yenyewe :


  • Amidou Hassan
    Habari Mzee? / Mumerewe gute mutama?

  • Nimbona Kidum Jean Pierre
    safi / Ni sawa.
  • Amidou Hassan
    Samahani kwa usumbufu , kuna fununu zinasema kuwa unaumwa ? Je ni kweli ? / Muratubabarira ,hari urukurukuru ruvuga yuko urwaye? Vyoba arivyo?

  • Nimbona Kidum Jean Pierre
    Nilikuja Burundi kutokea Rwanda mu FESPAD siku ya Jumaa-tano (Mercredi)  nikiwa tabaani na siyo siri tena nakujulisha kama muandishi wa habari niko mgonjwa na nashuku matatizo ya afya yameanza juu ya uchovu kuhusu iyi kazi yangu / Naraje mu Burundi mvuye mu Rwanda muri Fespad yari kumusi wa gatatu nari ndemvye kabisa s'ibanga ndabikubwiye nk'umumenyeshamakuru ndarwaye kandi ndibaza ko ingorane ziva mu kazi kanje k'umuziki.

  • Amidou Hassan
    Pole sana . Unaumwa nini? Ao ni mchoko tu wa mwili? / Pole nukuri . Urwaye iki ? Canke n'uburuhe bw'umubiri ?
  • Nimbona Kidum Jean Pierre
    Niko na matatizo ya miguu , alafu matatizo ya kupumuwa / Ndafise ingorane y'amaguru , ikindi nuko mpema nabi

  • Amidou Hassan
     Kwani ulikuwa na Concert hivi karibuni ? / Hari abiteremo wari wimirije gukora?

  • Nimbona Kidum Jean Pierre
    Niko nazo ila  nawazia ( suspecter ) kama nimeanza kuwa na tatizo la moyo ata saa hii si imbi hapa kenya kutoka nifike huku sauti hayitoki / Nari ndabifise mugabo kuva aho naviriye mu Burundi ijwi nirisohoka , ntagitemo na kimwe nkora ino mu kenya . Natanguye kwibaza ko mfise ingorane y'umutima .

  • Amidou Hassan
    Nashkuru Mzee , nakutakia afueni ... / Urakoze Muta , ndakwipfurije mitende...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire