jeudi 23 janvier 2014

Soma mistari ya nyimbo mpya ya BIG FIZZO " Best Friends"


Baada ya kimya kirefu kwa upande wa rikodi , MUGANI DESIRE a.k.a Big Farious ame post kupitia ukurasa wake wa kijamii wa facebook kipande cha mistari ya nyimbo yake mpya " Best friends " anayo mulika ku iweka hadharani hivi karibuni . Kiundani zaidi nyimbo hiyo  moja kati ya nyimbo ambayo ameimba kwa uchungu usiyokuwa na mfano kama alivyo chana kwenye pini zake zilizotanguliya kama  " Mtasema sana ao Ghetto song... '' , hizo mbili ni kati ya pini ambazo alizotumia ujuzi na maneno makali sana yanayo gusi raia wenye tabia na mila toauti . Kipande hicho cha nyimbo yake hiyo anachana hivi:

"What doesn't kill me ,only makes me stronger. So if u plan to hurt me, make sure u kill me or I'll be comin back for u...", tukijitaidi kutafsiri sawa na uwezo wetu mdogo , tunafkiri kuwa ametaka kutafsiri :

- Kwa kiswahili :" Inamaana gani kutaka kuniuwa , nifanye mtu muhimu . Kama unampango wakunichukia , niuwe ao ukichelewa mimi ntakugeukia ."

- Kwa kirundi :"Bisigura iki kunyica , ahubwo ngira umuntu akomeye . Nimba ufise umugambi wokunyanka , utanyishe jewe nzoguhindukirira ."

Burundiano tulipochonga naye kwa simu alitwambiya jibu fupi ,akisema :" Ni jiwe jizani kaka ,mkao wa kula, ni hivi soon..."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire