jeudi 23 janvier 2014

Enjoy na clip mpya ya pini Maisha by Andy Ndab.

Photo

Hii ni moja kati ya nyimbo ya ANDY mpiga gita maarufu sana nchini Burundi . Baada yakufanya kazi na Wasanii wakubwa wenye hadhi kama KIDUM mara nyingi anapokuwa na Tamasha nchini Burundi na wengine Wasanii mbali mbali , ANDY ameonyesha ujuzi wake kuwa hauishiyi kupiga gita pekee yake bali nakuimba anaweza na ndiyo kwa maana ameamuwa kuachiya pina inayosimama na jina " Maisha" . Fahamu ya kuwa audio alitengeneza kwa Big Bass/Menya media Records , Video alitengenezea Popeye Records & Videoz , inayopatikana Buterere ku Don bosco. Enjoy it...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire