Msanii mzoefu
BIZIMANA Aboubakar Karoume a.k.a Sat b asubiriwa Mkoani Gitega ifikapo tarehe 23/11/2013 kwenye ukumbi wa Tropitel . Tulipo hojiana naye kuhusikana na tamasha hiyo ,alitufahamisha kuwa :" Nimeamuwa kubadili hewa kidogo ,ili ujumbe wangu uskike pande zote..." kumbuka ya kuwa week-end iliopita aliwasha moto kwa vy'Isi akiwa na kombaini ya Wasanii wa Buja wanaofanya vyema bila kusahau ushirikiano tosha wa Msanii wa kike ALIDA BARANYIZIGIYE . Mengi zaidi soma kwenye bango hilo...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire