vendredi 31 janvier 2014

YAMIN SELEMANI , LUCIO na FERRE ndio wameshapata Timu baada ya CHAN


Kushiriki kwa Burundi kwa mara yake ya kwanza kwenye mashindano ya CHAn yaweza kuwapa matumaini yakusakata gozi la kulipa barani kwa Wachezaji wa Burundi.
Pichani : Kiongozi wa Vital'o Fc , Yamin Seleman na Manager kutoka Albania.

NDIKUMANA YAMIN SELEMANI , NDUWARUGIRA CHRISTOPHE LUCIO
na NSABIYUMVA FREDERICK FERRE ndio wachezaji wa Intamba Murugamba watakao  kujiunga na nchi za nje baada yakutumiya muda wao vyema kwenye mashindano ya Wachezaji wanaocheza soka ya nyumbani maarufu CHAN.
Yamin selemani n mmoja kati ya Wachezaji wa burundi waliokodolewa macho na baadhi ya Klabu barani na ulimwenguni ,juzi juzi jumaa-nne ndipo Manager special kutoka Albania aliwasli nakumalizana kila kitu na Viongozi wa Vital'o F kuhusikana na uhamisho wa Yamin kuelekea kwenye Klabu ya FC TIRANA . SELEMANI anaondoka kesho tarehe 01/02/2014 kuelekea Ugiriki ku ungana na kikosi cha timu yake kisha wafike wanajielekeza Albania .
Lucio akivaliajezi nyekundu...

Kwa upande mungine LUCIO nayeye msiku chache za mbele aweza kujiunga na Klabu ya daraja la kwanza inayofahamika kwa jina la CHIBUTO kutoka Msumbiji (Mozambique) .
Yamin selemani alifunga goli kati ya bao nzuri zenye ufundi kwenye CHAN.
FERRE mambo yanaelekea kumalizika kwani kuna Timu ya SOUTH AFRICA ambayo wako kwenye mazungumzo na inaelekeya mazungumzo yanataka kumalizika na hivi karibuni atapita anatimba kwa mandela . 
Nsabiyumva Frederick FERRE

Habari zingine kwa Wachezaji wa Intamba ni pamoja na Kipa Mc ARTHUR ARAKAZA , HABONIMANA CELESTIN na FISTON ABDUL RAZZAK yasemekana waweza kujiunga na Timu ya moja wapo ya Kenya ambayo haijatambulishwa hadi mdaa huyu , kitengo cha Burundi beat kina ahidi kufatilia habari hizi kwa kina...

Ratiba ya Week-end hii kwa upande wa LIGI ya daraja nchini hii apa :
---------------------------------------------------------------------------------------------

Royal FC - Prince Louis FC  / Muramvya 
Le Messager Ngozi - Volontaires /Ngozi
Espoir FC - Lydia Ludic Burundi /Gatumba
Votal'O FC - Muzinga FC /Bujumbura
Flamengo FC - Académie Tchité / Buterere
Inter Stars - Athletico Olympic / Bujumbura
Flambeau de l'Est - Guepiers du Lac ,itachezwa Jumaa-pili tarehe 2/2/2014 Bujumbura


MSIMAMO WA LIGI
------------------------------

Equipes
GB
Points
1
P.louis
5
9
2
Vital'o
4
9
3
L.ludic fc
5
8
4
Guepiers
5
8
5
Flambeau
3
8
6
Volontaire
-2
8
7
I. star
1
6
8
Ac. tchite
0
6
9
Messager
0
6
10
Muzinga
-4
6
11
Royal
-4
4
12
A. olympic
-2
2
13
Espoir
-5
2
14
Flamengo
-6
2

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire