Msanii wakizazi kipya ,mwenye hadhi ya hali ya juu DIAMOND PLATNUMZ kwa ushirikiano na kundi la Wasanii DREAM BOYS kutoka Rwanda wamepewa shavu na jopo la maandalizi la kumteuwa mlimbwende bora kwenye ukanda wa Africa mashariki (Miss East african) . Wanasubiriwa kwa hamu Mjini Bruxelles ifikpo tarehe 7/December/2013. Mpangilio na ratiba soma kwenye bango hapo juu.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire