Yapata mwaka na siku kadhaa baada ya Marehemu
Steven Charles Kanumba kutoweka duniani , na kama mlivyosoma kupitia majarida , nakushughudia kwenye viona mbali Steven alikuwa amejaliwa kuicheza flamu na Waigizaji wa bongo movies
Patcho Mwamba ,
Sharo Milionea (kisha fariki nayeye),
Irene Paul sasa ipo madukani baada yakuchakachuliwa na kampuni ya usambazaji nchini pale Steps Entertainement . Filamu hio inaitwa
'LOVE & Power'
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire